UASI MKUU

Ili kujipatia manufaa na heshima ya kidunia, kanisa liliongozwa kutafuta fadhili na msaada kutoka kwa wakuu wa dunia, na baada ya kumkataa Kristo kwa namna hiyo, lilivutwa ili kumtii kwa mwakilishi wa Shetani - Askofu wa Rumi.

(Vita kuu, uk. 17)

No automatic alt text available.
Previous
Next Post »
Powered by Blogger.