Wengi huhitaji mafundisho jinsi iwapasavyo kuonekana ktk mikutano ya ibada siku ya sabato.
Haiwapasi kuingia mahali Mungu alipo wakivaa mavazi ya kawaida yaliyovaliwa siku za kazi ktk juma hilo.
Yafaa wote kuwa na mavazi maalumu ya Sabato yavaliwayo wakienda kuhudhulia ibada nyumbani mwa Mungu.
Huku tukiwa hatupaswi kuiga mitindo ya kiulimwengu, tusikose kujali hali yetu ya nje. Yatupasa tuwe maridadi ingawa hatujipambi. Yafaa watoto wa Mungu wawe safi ndani na nje.
(Kutayarisha njia sehemu ya 1 uk 205,206)
EG Child Guidance page 415,416

EmoticonEmoticon