"...chagueni leo hii mtakayemtumikia."
Yoshua 24:15.
KATIKA VITABU VYA WAKATORIKI.
Stephen Keenan, A Doctrinal Catechism, p. 174.
SWALI:- "Je, una njia nyingine ya kuthibitisha kwamba kanisa linayo nguvu ya kuunda siku takatifu au sheria?"
JIBU:- "kama kanisa lisingekuwa na nguvu hiyo, lisingefanya yote hayo ambayo madhehebu mengi leo hii yamegmfuata na kuunga mkono-..."
JIBU.: "...kanisa lisingeidhinisha... utunzaji wa jumapili ambao ni siku ya Kwanza ya juma,..."
JIBU.: "...baada ya Jumamosi ambayo ndiyo Sabato, badiliko hilo halina msingi katika maandiko matakatifu."
Huo ulikuwa ni ushahidi wa nguvu yake.
Naye atanena maneno kinyume chake Aliye juu, naye atawadhohofisha watakatifu wake Aliye juu; naye ataazimu kubadili majira na sheria; nao watatiwa mikononi mwake kwa wakati, na nyakati mbili, na nusu wakati.
Daniel 7:25.
”Rehema za Bwana ni mpya kila siku asubuhi.”
(Maombolezo 3:22, 23).

EmoticonEmoticon