Ukweli Mchungu.....



Watu wote walioitwa na Mungu kuupeleka ujumbe kwa wanadamu watapata pingamizi. Katika siku za Luther kulikuwako na ukweli uliohusu wakati. Siku hizi kanisa linao ukweli wa wakati huu. Ukweli huu hauthamini na watu kama vile haukuthaminiwa na Papa na wenzake siku za Luther. 

Wanaotangaza ukweli wa wakati huu wasitazamie kuwa utapokewa na watu wengi zaidi ya ulivyopokewa hapo mwanzo, siku za akina Luther.

Mapambano makuu kati ya kweli na uongo, na kati ya Kristo na Shetani yataendelea na kuzidi mpaka mwisho wa historia ya ulimwengu.
Soma Yohana 15:19,20; Luka 8:26.
(Pambana Kuu uk 85)

”Rehema za Bwana ni mpya kila siku asubuhi.”
(Maombolezo 3:22, 23).

Image may contain: 2 people, text
Previous
Next Post »
Powered by Blogger.