YESU NAKUPENDA


UNAPATIKANA NO:153 KTK VITABU VIKUBWA VYA NYIMBO ZA KRISTO

Mtunzi wa wimbo huu anaitwa WILLIAM RALF FEATHERSTONE
Alizaliwa Mwaka 1846 Nakufa Mwaka 1873 
Wimbo Huu aliutunga pindi alipotafakari kuhusu maisha ya Yesu na kuona ni pendo la ajabu nakuona naye yampasa ampende Yesu kama biblia iagizavyo,
Alikubali Kuachana Na Dhambi
Ktk Beti la Kwanza Mpaka la 4 Alitunga Mashairi Kwa Mpangilio Unao onesha Jinsi Alivyotafakari Kuhusu Pendo la Yesu, Ktk Wimbo Huu Kwake Ulikuwa Ombi Kwa Yesu....
Alipofariki Ktk Mwaka 1873,

Mwaka 1876 Aliinuka ADONIRAM JUDSON GORDON
Ambaye aliyezaliwa Mwaka 1836 Na Kufa Mwaka 1895 Alikuwa Mwamerica
Mwaka 1876 akautungia merody Wimbo Huu na kuuweka ktk kitabu cha nyimbo za Kristo

wimbo huu ni kati ya wimbo ambao unapendwa sana na wakristo wengi na umeenea duniani kote
Image may contain: 1 person, sunglasses


Previous
Next Post »
Powered by Blogger.