Uliandikwa na ARTHUR SULLIVAN Mwaka 1865 Na Kukamilika Mwaka 1871
Mtunzi Wa Wimbo huu alikuwa akinukuu ktk biblia 2timotheo 2:3 inasema ushiriki taabu pamoja nami kama askari mwema wa Kristo....
mtunzi wa wimbo huu alilenga kwa Wakristo kuwa ukimwamini Yesu unakuwa askari wa Yesu, Na askari hukubari yote na kuwa kivita wakati wote,
Wimbo Huu umeonekana kupendwa na Wakristo na umesambaa kwa kasi sana ulimwenguni kote.
Wewe Unayesoma historia hii kama umemwamini Yesu tambua kuwa wewe ni askari wa Yesu.

EmoticonEmoticon