USIKATAE KAZI

HISTORIA YA WIMBO NO: 211 KTK VITABU VIKUBWA VYA NYIMBO ZA KRISTO 

Wimbo huu ktk kingereza ni ASK NOT TO BE EXCUSED 

Mtunzi wa wimbo huu ni FRANKLIN EDSON BELDEN Alizaliwa Battle Creek, Michigan nchini Marekani.
March 21,1858 Na kufa mwaka 1945

alikuwa Msabato Sda Church.

Ni wa kwanza ktk watoto wa 5 kwa wazazi wake baba yake ni Stephen na mama yake ni sarah_harmon_belden
Na Ellen Gould Harmon au Ellen White ni mama yake mkubwa ndo ana fuatia mama yake Sarah Harmon.

Alipokuwa mkubwa Alikwenda Carifonia Pamoja na familia yake kisha akaenda tena Colorado

Na baadaye alirudi bettle creek na mwanzoni mwa mwaka 1880 alianza music mwaka 1881 akaingia kufanya kazi ktk mtambo wa Adventist Publishing

Alitunga nyimbo nyingi sana na mashairi aliweza kuimba ktk matamasha mbali mbali duniani.... kama IsraelMarekani Nk.

wimbo huu alitunga akilenga kwa wakristo wafanye kazi ya injiri na wengi walihubiri kwa nguvu injiri ilipamba moto...

Image may contain: 1 person, closeup
Previous
Next Post »
Powered by Blogger.