SIOSHWI DHAMBI ZANGU

HISTORIA YA WIMBO  NO: 148 Ktk vitabu vikubwa

Mtunzi wa wimbo huu anaitwa ROBERT_LOWRY alizaliwa March 12,1826 ktk sehemu ya Philadelphia, pennsylvan nchini Marekani alioa na akazaa wana wa 3 wakiume wote 
na alikufa november 25,1899 ktk sehemu iitwayo Plainfield, New Jersey

Mtunzi wa wimbo huu alinukuu ktk Biblia WAEBRANIA 9:22 inasema "vitu vyote husafishwa kwa damu na pasipo kumwaga damu hakuna ondoleo" Mtunzi alitafakari sana nakuona umuhimu mkubwa wa damu ya Yesu, wimbo huu ulichapishwa ktk Public Doman na kukamilika mwaka 1876

Ktk Kingereza unafahamika kama WHAT CAN WASH A WAY MY SINS
au NOTHING BUT THE BLOOD OF JESUS

Ni wimbo unaopendwa sana na unatumiwa sana hasa mtu anapotubu dhambi na hutumika sana makanisani wakati wa Pasaka au Meza ya Bwana ilikulenga tukio maalum
ni wimbo ulioenea kwa kasi ulimwenguni kote.


Image may contain: 1 person, beard and closeup
Previous
Next Post »
Powered by Blogger.