ROHO WA MUNGU



"Tunahitajika kutambua kuwa Roho Mtakatifu, ambaye ni NAFSI KAMA MUNGU ALIVYO NAFSI, anatembea akikanyaga viwanja hivi". 
Ellen G White, Avengalism uk 616.

"Roho Mtakatifu ANAYO NAFSI, vinginevyo asingalishuhudia rohoni mwetu, kuwa tu watoto wa Mungu. Pia LAZIMA AWE MUNGU, vinginevyo hangaliweza kusoma siri ambazo zimefichika akilini mwa Mungu. "Maana ni nani katika binadamu ajuaye mambo ya binadamu, ila roho ya binadamu iliyoko ndani yake? Vivyo hivyo, na mambo ya Mungu hakuna afahamuye ila Roho wa Mungu '(1 Korintho 2 : 11) - Ellen G White, Avengalism uk 617.

" Mkuu wa nguvu za giza, aweza tu kuzuiliwa kupitia uweza wa Mungu katika Nafsi ya Tatu ya Uungu, Roho Mtakatifu. "
Avengalism uk. 617.

" Twapaswa kushirikiana na watawala wakuu watatu wa mbinguni, Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu - na watawala hawa watatenda kazi ndani yetu, wakitufanya tuwe watendakazi pamoja na Mungu. "
Avengalism uk. 617.

"Dhambi ingeweza tu kupingwa na kushindwa kwa njia ya uweza ule mkuu wa ile nafsi ya tatu ya Uungu " (Desire of Ages 671).

"Uovu ulikuwa ukilindwa Kwa Karne Nyingi na ungeweza tu kuzuiwa na kupingwa kwa uweza mkuu wa Roho Mtakatifu, nafsi ya tatu ya Uungu, ambaye angekuja si katika nguvu iliyopunguzwa, bali katika utimilifu wa uweza wa Mungu" (Testimonies to ministers 392).

Image may contain: bird
Previous
Next Post »
Powered by Blogger.