"Maisha yenye sehemu mbili"
Ushirika pamoja na Mungu utaboresha maisha, watu watatutambua kama walivyowatambua Mitume, kwamba tulikuwa pamoja na Yesu.
Lazima tuishi maisha yenye sehemu mbili;-
(1) Maisha ya kufikiri na kutenda, na
(2) Maisha ya maombi ya kumya kimya na kazi kwa bidii,.........

EmoticonEmoticon