Siri ya maisha ni kusamehe
"waliokukosea"
=Wapende
"wanaokuchukia"
=Wakumbuke waliokusahau'
na uitunze amani ya moyo wako isipotee.
=Na kitu bora cha kumpa mwenzio
ni "UVUMILIVU",
=Cha kumpa Adui ni "MSAMAHA"
=Cha kuwapa wazazi ni "HESHIMA"
=Cha kumpa rafiki ni "USIKIVU"
=Cha kumpa mtoto ni "MAARIFA"
=Cha kujipanga wenyewe ni "KUJIHESHIMU"
=Cha kuwapa watu wote ni "UPENDO"
=Lakini cha kumpa Mungu ni "MAISHA YAKO YOTE"

EmoticonEmoticon