Ushindani unaingia pole pole kati yetu. Shetani anaona kuwa wakati wake ni mfupi. Amewaweka mawakili wake kazini ili watu wapate kudanganywa, kushikwa na shughuli na kupumbazwa, mpaka muda wa rehema utakapo kwisha, na mlango wa rehema kufungwa kwa milele. (Desire of Ages, uk 636).
Image may contain: fire

Previous
Next Post »
Powered by Blogger.