Uamsho na matengenezo lazima yafanyike, kwa uongozi wa Roho Mtakatifu. Uamsho na matengenezo ni vitu viwili tofauti.
Uamsho humaanisha kufanywa upya kwa maisha ya kiroho, kuhuisha nguvu za akili na moyo, Ufufuo kutoka kwenye kifo cha kiroho. Matengenezo humaanisha kuunda upya, badiliko ktk mawazo na nadharia, tabia na matendo. Matengenezo hayataleta tunda zuri la haki endapo yasipoambatana na uamsho wa Roho. Uamsho na matengenezo havina budi kufanya kazi yao iliyokusudiwa, na ktk kuifanya kazi hii lazima vipatane. - RH Feb. 25, 1902.

3 comments
Write commentsMungu abariki kazi yake
ReplyAmeeeeeeen.
ReplyUbarikiwe Sana
ReplyEmoticonEmoticon