SAA YAJA NAYO IKO KARIBU.



Nami nitaadhibu ulimwengu kwa sababu ya ubaya wake, na wenye dhambi kwa sababu ya hatia yao; nami nitaikomesha fahali yao wenye kiburi; nami nitayaangusha chini majivuno yao walio wakali. 
Isaya 13:11. 

Ni ajabu uvumilivu wa Mungu umekuwa mwingi mno, hata ukadharauliwa hasa na sheria yake ikakanyagwa.
Mwenyezi Mungu ananyamaza kana kwamba hajui, lakini atainuka ili kuwaadhibu waasi, na wajeuri.
Ataimarisha sheria yake.
(Manabii na Wafalme, sehemu ya Kwanza, uk. 158).

”Rehema za Bwana ni mpya kila siku asubuhi.”
(Maombolezo 3:22, 23).

Image may contain: fire and night
Previous
Next Post »
Powered by Blogger.