Ngome ya uovu iliyo imara zaidi katika ulimwengu wetu siyo maisha ya udhalimu ya mdhambi aliyetengwa au mtu aliyetupwa na kushushwa hadhi; ni maisha yale ambayo vinginevyo yaonekana kuwa yenye uadilifu, ya heshima, ya kiungwana, lakini ambayo ndani yake dhambi moja inalelewa, uovu mmoja unaendekezwa. Kipaji, talanta, huruma, hata matendo ya ukarimu na wema, kwa namna hiyo vinaweza kuwa mitego ya shetani ili kuwashawishi watu waje kwenye bonde kubwa la uangamivu. (Matukio ya Siku za Mwisho, uk 131).

Image may contain: text
Previous
Next Post »
Powered by Blogger.