
KUWA MAKINI NA KILE UKIAMINICHO
Neno la Mungu linasema kuwa wakati ikifaa kutimiza kusudi la adui, yeye kwa kutumia mawakala wake atadhihirisha uwezo mkubwa sana kwa kuigiza Ukristo kiasi kwamba ataweza "kuwapoteza kama yumkini hata walio wateule." Mathayo 24 : 24. Kwa kadiri roho za mashetani zitakavyodai kuiamini Biblia na kuonesha heshima kwa kanuni na taratibu za kanisa, kazi yao itakubaliwa kama vile ni udhihirisho wa nguvu za Mungu. (Matukio ya Siku za Mwisho uk 131).

EmoticonEmoticon