"JIPENI MOYO NI MIMI MSIOGOPE"




Tupatapo jaribu tusipoasi au kunung'unika tukiwa mikononi mwa YESU tutapita. Njia ya Mungu machoni mwa wanadamu huonekana kuwa giza, na isiyokuwa ya kupendeza.
Lakini njia hiyo ndiyo ya huruma, na inayokwenda wokovuni.

Neno la Mungu kwa wenye huzuni ni: "Nitageuza huzuni zao kuwa furaha, nami nitawafariji."
Yeremia 31:13.

Matatizo yanapotokea ni mara ngapi huangalia juu ya mawimbi badala ya kumwangalia Mwokozi!
Maji ya kiburi huingia ktk roho zetu.
Yesu hawezi kutuita tumfuate, kisha akatuacha.
Asema, "msiogope".... "Upitapo majini, mimi nitakuwa pamoja nawe; Upitapo ktk mito, haitakugharikisha.... Mimi ni Bwana MUNGU wako, Mtakatifu wa Israeli, Mungu wako, na Mwokozi wako..." Isaya 43:1-3.
Image may contain: 1 person, cloud and text
Previous
Next Post »

1 comments:

Write comments
Unknown
AUTHOR
19 May 2017 at 11:58 delete

TATIZOKUBWA NI IMANI .LAITIKAMATUNGEELEWA KWA UFASAHA UTENDAJIKAZI WA MUNGU,BILASHAKA TUNGEMTAZAMA KAMA YULE MNYANGANYI MSALABANI ALIE AMINI:-KUWA YESU HANAHATIA
-KUWA YESU NI MUNGU
-KUWA YESU ANAO UWEZO WAKUOKOA
-KUWA YESU NI MFALME
-KUWA KIFOSIOMWISHO KWA WATU WA MUNGU !

Reply
avatar
Powered by Blogger.