No:278 ktk vitabu vikubwa vya nyimbo za kristo..
Mtunzi wa wimbo huu aliitwa
WILLIAM W WALFORD
aliyezaliwa nchini UINGEREZA (England) mwaka 1772 na kufa mwaka 1856
Walford alikuwa mhubiri mlei aliyekuwa kipofu
Ktk mahubiri yake aliweza kutunga shairi kuhusiana na maombi
1842 Akampelekea rafiki yake TOMMAS SARMON
na kumwomba amwandikie shairi kuhusu maombi
Baada ya miaka mitatu Sarmon alienda nchini Marekani (U.S.A)
Akamwonyesha mhariri wa nyimbo
WILLIAM BRADBURY
Aliyezaliwa mwaka 1816 - 1868 Ambaye aliweza kuuchapa wimbo huu september 13,1845
Alikuwa ni mwandishi na mtunzi maarufu wa nyimbo za kristo
Wimbo huu ni wenye mguso kwa waliokata tamaa
Na unaonesha matumaini ktk maombi
Baadhi ya mabeti yanaonesha maombi ya dhati yenye mazungumzo kati yake na MUNGU
ktk wimbo huu wengi wamebarikiwa na hata sasa wengi wanazidi kubalikiwa

EmoticonEmoticon