Tumeachiwa jukumu la kurekebisha mapungufu katika tabia zetu, kusafisha hekalu la roho zetu na kuondoa kila aina ya uchafu na unajisi. Ndipo mvua ya masika itakapotunyeshea kama vile mvua ya vuli ilivyowanyeshea wanafunzi katika siku ya pentekoste. (Matukio ya Siku za Mwisho, uk, 162).
Image may contain: text
Previous
Next Post »
Powered by Blogger.