Kanisa linaweza kuonekana kama vile linakaribia kuanguka, lakini halianguki. Linaendelea kusimama wakati ambapo wadhambi ktk Sayuni watapepetwa na kuondolewa - makapi yatatengwa na ile ngano ya thamani. Hili ni jaribu kali linaloogofya, hata hivyo ni lazima litokee. - 2SM 380 (1886).

Kwa kadri tufani ikaribiavyo, kundi kubwa la watu ambao walikiri kuwa na imani ktk ujumbe wa malaika yule wa tatu, lakini hawakuwa wametakaswa kwa njia ya kuitii ktk ukweli huo, wataziacha nafasi zao na kujiunga na upande wa upinzani. - GC 608 (1911).


No automatic alt text available.
Previous
Next Post »
Powered by Blogger.